|
|
|
|
|
|
Bendi ya muziki ya Afrofest kutoka Canadakikitoa burudani kwa wahudhuriaji wa Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa). Oktoba 26 hadi 28, 2023.
|
Kikundi cha Shada Sarakasi kikitoa burudani kwa wahudhuriaji wa Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa). Oktoba 26 hadi 28, 2023.
|
Kikundi cha ngoma almaarufu Mkirikiriwa Bongo kikitoa burudani katika Jukwaa la Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lilifanyika katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Oktoba 26 hadi 28, 2023.
|
|
|
|
Kikundi cha Ngoma cha Safi Theatre kikitoa burudani katika Jukwaa la Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Oktoba 26 hadi 28, 2023.
|
Kikundi cha Warriors from the East kikitoa burudani katika jukwaa la Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Oktoba 26 hadi 28, 2023.
|
Kikundi cha ngoma kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania kinachoenda kwajina la Sanaa JWTZ (Sauti ya Ngoma) kikitoa burudani katika Jukwaa la Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Oktoba 26 hadi 28, 2023.
|
|
|
|
Kikundi cha sarakasi kikitoa burudani katika Jukwaa la Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Oktoba 26 hadi 28, 2023. |
Wananchi na wageni kutoka ndani na nje Bagamoyo wakifurahia burudani za kazi za sanaa zilizokuwazikioneshwa na wasanii mbalimbali katika Jukwaa la Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika Oktoba 26 hadi 28, 2023 Bagamoyo, Pwani. |
Mwanamuzikiwa Muziki wa Asili VitalisMaembe akitoa burudani ya muziki katika Jukwaa la Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Oktoba 26 hadi 28, 2023.
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.