|
|
|
Ngoma za asili ni sehemu ya burudani ambayo ilifurahisha wahudhuriaji wa Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika Novemba, 2022 katika Mji wa kitalii wa Bagamoyo, Tanzania. .
|
Chris Aka Band kutoka nchini Zambia ni moja ya Band ambazo zilitoa burudani katika Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo iliyonyanyua mashabiki kwa ari kubwa. Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lilifanyika Novemba 2022 katika Mji wa kitalii wa Bagamoyo, Tanzania.
|
Kikundi cha ngoma za asili kinachoenda kwa jina la “Magoma Moto” kutoka Wilaya ya Bagamoyo, Tanzania kikitoa burudani kwenye Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika Novemba, 2022 katika Mji wa kitalii wa Bagamoyo, Tanzania.
|
|
|
|
Kikundi cha sarakasi wakionyesha umahiri wao katika fani hio katika Jukwaa la Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika Novemba, 2022 katika Mji wa Kitalii wa Bagamoyo, Tanzania.
|
Kikundi cha Ngoma kutoka Zanzibar kikitoa burudani katika Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo Novemba, 2022 katika Mji wa Kitalii wa Bagamoyo, Tanzania.
|
Wanamuziki kutoka Visiwa vya Mayotte ni kati ya wasanii wa kimataifa walipata fursa adhimu ya kufanya onesho katika Jukwaa la Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika Novemba, 2023 katika mji wa kitalii wa Bagamoyo, Tanzania.
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.