• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
  • Tamasha
    • Kuhusu Tamasha
    • 39 Festival
    • Fomu za Maombi ya Tamasha
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

Wanachuo 17 waliofadhiliwa na Tulia Trust wahitimu TaSUBa.

Posted on: March 1st, 2019

Jumla ya wahitimu 17 kutoka wilaya za Rungwe,Busokelo na Kyela, Mkoa wa Mbeya wamehitimu Mafunzo maalumu ya mwezi mmoja yaliyoanza tarehe 04.02.2019 na kuhitimishwa leo katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBa).

Mafunzo hayo yalifadhiliwa na Taasisi ya Tulia Trust, ambapo  vijana wote 17 walilipiwa  gharama zote za mafunzo.

Akizungumza leo wakati wa  mahafali hayo ,Mkuu wa Chuo wa TaSUBa  Dkt.Herbert Makoye amewataka wahitimu kuyatumia vizuri maarifa waliyoyapata katika kuongeza thamani ya shughuli zao za sanaa wanazozifanya ili ziwaongezee kipato na ziwafungulie fursa nyingine.

Naye Mwakilishi wa wahitimu Bw.Peter Mwapagatwa,ameishukuru Tulia Trust kwa kuwawezesha kupata mafunzo hayo ambayo yatakuwa na manufaa sana katika utendaji wa kazi zao za sanaa

“Tukiwa hapa TaSUBa tumejifunza uchezaji ngoma za asili ya Tanzania, ngoma za ubunifu, muziki wa asili ya Tanzania, uigizaji, matumizi ya jukwaa na maleba,ambapo kabla ya kuja TaSUBa hatukuwa na maarifa hayo bali tulikuwa tunafanya kwa mazoea tu”alisema Mwapagatwa

Vijana hao 17 wametoka kwenye vikundi vya ngoma vilivyoshiriki katika Tamasha la Ngoma za Asili la Tulia lililofanyika  Oktoba mwaka jana katika mji wa Tukuyu mkoani Mbeya .

Hii ni awamu ya pili, ambapo katika awamu ya kwanza jumla ya vijana 19  walipatiwa mafunzo hayo maalumu.

Pia Taasisi ya  Tulia imetoa ufadhili wa masomo kwa kwa ngazi ya Astashahada (Certificate) na Stashahada (Diploma) kwa vijana 8 wanaondelea na masomo yao katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).

Matangazo

  • MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO MUHULA WA MACHI, 2021 January 08, 2021
  • JOINING INSTRUCTION TO JOIN Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) YEAR 2020/2021 October 21, 2020
  • APPLICATION FORM FOR ADMISSION TO CERTIFICATE AND DIPLOMA PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2020/2021 (MARCH INTAKE) January 08, 2021
  • TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO (TaSUBa) 2020-2021 June 18, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TAMASHA LA 39

    December 27, 2020
  • ZIARA

    December 23, 2020
  • TaSUBa na Clouds Plus wakubaliana uendeshaji wa Tamasha la 38 la Bagamoyo

    April 29, 2019
  • Balozi wa Japan atembelea TaSUBa

    March 15, 2019
  • Angalia zote

Video

Sanaa Tuition fee waiver scholarship
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Sanaa la Taifa
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Dirisha la Watumishi

Viunganishi Linganifu

  • WIZARA YA HABARI,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • IDARA YA HABARI-MAELEZO
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kaole Road

    Anuani ya posta: P.O.Box 32 Bagamoyo Tanzania

    Simu: +255 023 2440149

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2020 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo . All rights reserved.