Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa (watatu kushoto) akiserebuka baada ya kutoa neno kwa wananchi waliohudhuria Tamasha la 39 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika mwishoni mwa Desemba, 2020 katika viwanja vya TaSUBa Bagamoyo. Walio pamoja nae ni Naibu Waziri, Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Abdallah Ulega (wapili kushoto), Kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi, Mkuu wa Wilaya Bagamoyo, Mhe. Zainabu Kawawa. Wengine kutoka kulia ni Katibu Tawala Wilaya Bagamoyo Bibi. Kasilida Mgeni, Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya, Bagamoyo Bibi. Fatuma Ratu, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Emmanuel Ishengoma na Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo Dkt. Herbert Makoye.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.Box 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 023 2440149
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2020 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo . All rights reserved.