• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
  • Tamasha
    • Kuhusu Tamasha
    • 39 Festival
    • Fomu za Maombi ya Tamasha
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

Historia

TAASISI ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)ni zao la kilichokuwa Chuo cha Sanaa Bagamoyo. Historia ya ya chuo cha Sanaa Bagamoyo ilianzia mnamo mwaka 1962 ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanganyika iliundwa wizara ya vijana na utamaduni. Mnamo mwaka 1972 ilionekana kuwa kuna uhitaji wa kuwa na mafunzo rasmi ya mambo ya Sanaa, hii ilipelekea kuanzishwa kwa chuo cha sanaa Bagamoyo(BCA). Kati ya mwaka 2003-2005 Chuo cha Sanaa Bagamoyo kilisajiliwa na Baraza la taifa la elimu ya ufundi (NACTE), na kuanzia hapo mitaala ya kufundishia iliandaliwa kikamilifu na kupata ithibati ya NACTE. Mwishoni mwa mwaka 2005 uamuzi ulifanywa na iliyokuwa Wizara ya Elimu na Utamaduni kwamba, Chuo cha Sanaa Bagamoyo kibadilishwe kuwa wakala wa Serikali chini ya mpango wa mabadiliko ya sekta ya umma,kwa hiyo Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ilianzishwa mnamo tarehe 2 Novemba 2007, kwa tangazo namba 220 lililochapishwa kwenye gazeti la Serikali kwa mujibu wa sheria ya Wakala wa Serikali namba 30 ya mwaka 1997.

Taasisi ya sanaa na utamaduni Bagamoyo ni kituo chenye ubora uliotukuka Afrika Mashariki katika kutoa mafunzo ya Sanaa za maonyesho na ufundi ambapo majukumu yake makubwa ni kuhudumia mahitaji ya nchi washirika wa jumuiya ya Afrika Mashariki katika kutunza, kuhamasisha na kuendeleza Sanaa za maonyesho na ufundi.

MAJUKUMU YA TASUBA

Kutoa mafunzo

Kufanya utafiti katika masuala yanayohusu Sanaa na Utamaduni

Kutoa ushauri katika masuala yanayohusu Sanaa na Utamaduni

Matangazo

  • MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO MUHULA WA MACHI, 2021 January 08, 2021
  • JOINING INSTRUCTION TO JOIN Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) YEAR 2020/2021 October 21, 2020
  • APPLICATION FORM FOR ADMISSION TO CERTIFICATE AND DIPLOMA PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2020/2021 (MARCH INTAKE) January 08, 2021
  • TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO (TaSUBa) 2020-2021 June 18, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TAMASHA LA 39

    December 27, 2020
  • ZIARA

    December 23, 2020
  • TaSUBa na Clouds Plus wakubaliana uendeshaji wa Tamasha la 38 la Bagamoyo

    April 29, 2019
  • Balozi wa Japan atembelea TaSUBa

    March 15, 2019
  • Angalia zote

Video

Sanaa Tuition fee waiver scholarship
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Sanaa la Taifa
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Dirisha la Watumishi

Viunganishi Linganifu

  • WIZARA YA HABARI,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • IDARA YA HABARI-MAELEZO
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kaole Road

    Anuani ya posta: P.O.Box 32 Bagamoyo Tanzania

    Simu: +255 023 2440149

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2020 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo . All rights reserved.