19 Sep 2017

TAMASHA la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo mwaka huu litafanyika September 23-30 Mwaka huu,Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani

18 Sep 2017

TAMASHA la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo mwaka huu litafanyika September 23-30 Mwaka huu,Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani

14 Sep 2017

TAMASHA la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo mwaka huu litafanyika September 23-30 Mwaka huu,Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani

13 Sep 2017

TAMASHA la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo mwaka huu litafanyika September 23-30 Mwaka huu,Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani

12 Sep 2017

TAMASHA la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo mwaka huu litafanyika September 23-30 Mwaka huu,Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani

29 Aug 2017

INVITATION FOR QUOTATIONS 1

The Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) has received fund from the Government of Tanzania towards the cost of “Rehabilitation of 4 studios with facilities” and it intends to apply part of the proceeds of this fund to cover eligible payments under the contract for which this invitation for quotation is issued.

29 Aug 2017

INVITATION FOR QUOTATIONS 2

The Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) has received fund from the Government of Tanzania towards the cost of “Rehabilitation of 4 studios with facilities” and it intends to apply part of the proceeds of this fund to cover eligible payments under the contract for which this invitation for quotation is issued.

23 Aug 2017

MATOKEO YA SEMESTA YA MARCH-JULY 2016/2017

23 Aug 2017

TANGAZO LA MNADA WA VIFAA

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Mkoa wa Pwani inawatangazia Umma kwamba itaondosha gari, pikipiki na vifaa chakavu vya aina mbalimbali kwa njia ya mnada wa hadhara. Mnada huo utafanyika katika Ofisi za Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo Mkoa wa Pwani.

11 Aug 2017

TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018

03 Aug 2017

INVITATION FOR QUOTATIONS

02 Aug 2017

WAFUATAO WAFIKE CHUONI KWA AJILI YA MITIHANI MAALUMU ITAKAYOANZA TAREHE 05/09/2017 SAA 2:00 ASUBUHI

28 Jul 2017

NAMBA ZA USAJILI WA WANAFUNZI ZA ZAMANI NA MPYA

26 Jul 2017

Waziri Mwakyembe Kuzindua Tamasha la Kimataifa la sanaa na utamaduni Bagamoyo

TAMASHA la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo mwaka huu litafanyika September 23-30 Mwaka huu,Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani. Tamasha hili ambalo mwaka huu linafanyika kwa mara ya 36 litazinduliwa na Waziri wa Habari Utamaduni,Sanaa naMichezo Dkt.Harrison Mwakyembe siku ya tarehe 23 septemba,ambapo kabla ya uzinduzi huo kutatanguliwa na mkesha wa Tamasha utakaofanyika tarehe 22 septemba . Siku ya tarehe 30 Septemba ndio itakuwa siku ya kufunga tamasha ambapo Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi.Annastazia Wambura ataongoza sherehe ya kufunga .

23 Jun 2017

TaSUBa WAPAMBA TAMASHA LA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE

Bagamoyo Players ambacho ni kikundi rasmi cha maonyesho cha taasisi ya sanaa na utamaduni bagamoyo (TaSUBa)kimepangatamasha la tisa la Kigoda cha Mwalimu Nyerere kwa kufanya mchezo wa Jukwaani uliobeba maudhui ya kuelezea changamoto mbalimbali zinazolikumba bara la Afrika,kuuona mchezo huo ingia kwenye Link hii https://www.youtube.com/watch?v=HalfqM7Vs6U

19 Jun 2017

WITO KWA WASANII NA VIKUNDI KUSHIRIKI KATIKA TAMASHA LA 36 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO KUANZIA TAREHE 23 HADI 30 SEPTEMBA 2017

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo inapenda kuwakaribisha wasanii na vikundi vya sanaa kwa ujumla kuomba kushiriki kwa kufanya maonyesho katika tamasha la 36 la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambalo litafanyika katika viwanja vya taasisi (TaSUBa – Bagamoyo) kuanzia tarehe 23 hadi 30 Septemba 2017. Tamasha hili limekuwa na malengo mbalimbali kama vile kuendeleza na kudumisha utamaduni wa Mtanzania, kubadilishana uzoefu na kujifunza kutoka kwa wasanii na vikundi vya Tanzania na mataifa mengine kupitia warsha na maonyesho mbalimbali.

16 May 2017

TANGAZO LA MASOMO MWAKA 2017-2018

Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (Zamani Chuo cha Sanaa Bagamoyo) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo kwa kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma)

29 Apr 2017

Naibu spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson azindua mafunzo maalumu ya Sanaa kwa vijana 27 TaSUBa

Naibu spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson, amewataka wasanii vijana wanaojihusisha na uchezaji wa ngoma za asili kujiunga na Taasisi ya sanaa na utamaduni bagamoyo (TaSUBa )ili wapate mafunzo yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa Tija . Dkt Tulia ametoa wito huo leo alipokuwa akizindua mafunzo maalumu ya Sanaa kwa vijana 27 kutoka wilaya za Rungwe, Busokelo na Kyela, mkoa wa Mbeya yaliyogharamiwa na Taasisi ya Tulia Trust.N

21 Apr 2017

Ubalozi wa Denmark Nchini Tanzania wafanya makabidhiano ya Vifaa vya Muziki na TaSUBa

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa Na Michezo ,Bibi Nuru Millao ameishukuru Serikari ya Denmark kwa kuwezesha kupatikana kwa vifaa vya kufundishia na kujifunzia Muziki kwa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBa). Bi Milao alitoa shukrani hizo leo,wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika ukumbi wa maonyesho wa TaSUBa uliopo Wilayani Bagamoyo,Mkoa wa pwani ambapo balozi wa Denmark Mh.Einar Herbogard Jensen alikabidhi vifaa vya kufundishia kwa awamu ya pili ambavyo ni kompyuta pamoja na vifaa vya kuhifadhia vyombo vya Muziki,vilivyotolewa na serikali ya Denmark.

04 Apr 2017

WAZIRI wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe (MB)ametembelea Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)

WAZIRI wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe (MB)ametembelea Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) kuzindua vifaa vya kufundishia vilivyonunuliwa kwa pesa ya maendeleo iliyotolewa na serikali kwa mwaka wa fedha 2016/17. Akiwa TaSUBa dkt.Mwakyembe amesema kuwa uhai wa sanaa na utamaduni wa Mtanzania unategemea sana uwepo wa Taasisi ya Sanaa na utamaduni Bagamoyo ambayo ni kituo chenye ubora uliotukuka Afrika mashariki katika kutoa mafunzo ya sanaa na utamaduni.

17 Mar 2017

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii yatembelea TaSUBa

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ikiongozwa na mwenyekiti wake Mh. Peter Serukamba yatembelea Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) leo tarehe 17/03/2017 kuangalia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo. Kamati hiyo ilipokelewa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiwa na Naibu Waziri wake Anastazia Wambura.

04 Mar 2017

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)imetoa mafunzo juu ya madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na Mihadarati kwa timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti boys.

27 Feb 2017

TANGAZO LA ZABUNI YA VIFAA VYA STUDIO

23 Feb 2017

PRACTICAL AND THEORY SPECIAL/ SUPPLIMENTARY EXAMINATION 27/02/2017 – 03/03/2017 FIRST AND SECOND AND THIRD YEAR 2016/2017 (SEMESTER I, III &V)

10 Feb 2017

Wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Al-haramain wapewa Mafunzo ya siku moja TaSUBa

JUMLA ya wanachuo mia moja na ishirini (120) kutoka chuo cha Ualimu cha Alharamain cha jijini Dar es salaam,wamepatiwa mafunzo juu ya mada isemayo Sanaa ni ajira katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBa).

09 Feb 2017

MATOKEO YA MITIHANI YA DECEMBER 2016

TaSUBa inapenda kuwatangazia Matokeo ya Mitihani yote iliyofanyika Mwezi December 2016 kwa mwaka wa Kwanza,pili na tatu.(NTA LEVEL 4,5,6) Hivyo unaweza kuyatazama hapa kwenye Tovuti yetu.

09 Feb 2017

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Natalia Zukerman afanya Onesho TaSUBA

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)imekuwa mwenyeji wa onesho la Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Bi.Natalia Zukerman aliyeambatana na Bi. Mona Tavakoli pamoja na Chaska potter. Onesho hilo la siku moja lilifanyika jana tarehe 08/02/2017katika ukumbi mkubwa wa onesho wa TaSUBa,lilidhaminiwa na ubalozi wa marekani nchini Tanzania.akiongea wakati wa ufunguzi wa maonyesho ,Afisa kutoka ubalozi wa Marekani anayeshughulikia mambo ya Utamaduni,alisema kuwa onyesho hilo lina lenga kudumisha mashirikiano kati ya Tanzania na Marekani ,pamoja na kubadilishana uzoefu wa mambo ya kiutamaduni.