02 Mar 2018

WITO KWA WASANII NA VIKUNDI KUSHIRIKI KATIKA TAMASHA LA 37 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo inapenda kuwakaribisha wasanii na vikundi vya sanaa kwa ujumla kuomba kushiriki kwa kufanya maonyesho katika tamasha la 37 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambalo litafanyika katika viwanja vya taasisi (TaSUBa – Bagamoyo) kuanzia tarehe 20 hadi 27 Oktoba 2018.

21 Feb 2018

THE EXAMINATION RESULTS FOR CERTIFICATE AND DIPLOMA STUDENTS FOR SEMISTER ONE 2017/2018 ARE OUT

19 Feb 2018

TANGAZO LA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2017-2018 -MUHULA WA APRILI 2018

Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (Zamani Chuo cha Sanaa Bagamoyo) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo kwa kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma) katika fani zifuatazo. i. Sanaa za Maonyesho na Ufundi (Performing and Visual Arts) - Muziki, Ngoma, Uigizaji, Sarakasi, Ufundi wa Jukwaa (Stage Technology) na Sanaa za Ufundi (Fine Art). ii. Picha Jongevu (Film and TV Production) - Uchukuaji wa Video (Video Shooting), Kuhariri Video (Video Editing), Kuongoza Filamu (Film Directing) na Uandishi Miswada ya Filamu (Script Writing). iii. Uzalishaji wa Muziki na Sauti (Music and Sound Production) - Kurekodi Sauti (Sound Recording), Kurekodi Muziki (Music Recording), Uzalishaji wa Muziki (Music Production) na Usimamizi wa Studio (Studio Management).

16 Feb 2018

TaSUBa imefanya mkutano na wadau wa kuboresha Mtaala

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBa)imefanya mkutano na wadau wa Sanaa ambao ni Wasanii,Wakufunzi Wastaafu wa TaSUBa, waliowahi kusoma TaSUBa pamoja na Viongozi wengine kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo

15 Dec 2017

Onyesho la muziki wa Okinawa na ngoma za asili CHURA kutoka Japan

Onyesho la muziki wa Okinawa na ngoma za asili CHURA kutoka Japan,lilifanyika usiku wa Tarehe14/12/2017 katika ukumbi wa maonyesho wa TaSUBa chuo cha Sanaa Bagamoyo,lilifana sana.

08 Dec 2017

Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Sanaa na utamaduni Bagamoyo(TaSUBa) Limezinduliwa leo

Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Sanaa na utamaduni Bagamoyo(TaSUBa) Limezinduliwa leo katika ukumbi TaSUBa na Mwakilishi wa Kamshina wa Kazi Bi.Honesta Ngolly

30 Sep 2017

Dkt.Tulia Ackson awataka wahitimu TaSUBa kujiajiri

29 Sep 2017

Tamasha la kimataifa la 36 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lapamba moto

28 Sep 2017

Maelfu ya wageni na wenyeji wa Bagamoyo wameendelea kumiminika kwenye Tamasha linalofanyika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBa)

27 Sep 2017

Tamasha la kimataifa la 36 la Sanaa na utamaduni Bagamoyo limeendelea kuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa Bagamoyo na maeneo ya za jirani

22 Sep 2017

Mkesha wa Uzinduzi wa TAMASHA la 36 la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ,Kufanyika leo Usiku.

Hivyo watu wote mnakaribishwa kwa mikono miwili!!!Karibuni sana tushirikiane kwa pamoja.

22 Sep 2017

RATIBA YA TAMASHA LA KIMATAIFA LA 36 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO