04 May 2018

TANGAZO LA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2018-2019

Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (Zamani Chuo cha Sanaa Bagamoyo) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo kwa kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma)
 Download Attachment TANGAZO LA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2018-2019.pdf