02 Mar 2018

WITO KWA WASANII NA VIKUNDI KUSHIRIKI KATIKA TAMASHA LA 37 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo inapenda kuwakaribisha wasanii na vikundi vya sanaa kwa ujumla kuomba kushiriki kwa kufanya maonyesho katika tamasha la 37 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambalo litafanyika katika viwanja vya taasisi (TaSUBa – Bagamoyo) kuanzia tarehe 20 hadi 27 Oktoba 2018.
 Download Attachment WITO KWA VIKUNDI KUSHIRIKI TAMASHA 2018.pdf