08 Dec 2017

Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Sanaa na utamaduni Bagamoyo(TaSUBa) Limezinduliwa leo

Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Sanaa na utamaduni Bagamoyo(TaSUBa) Limezinduliwa leo katika ukumbi TaSUBa na Mwakilishi wa Kamshina wa Kazi Bi.Honesta Ngolly
 Download Attachment Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Sanaa na utamaduni Bagamoyo.pdf